Uongozi wa klabu ya Simba jana umethibitisha kuwa nahodha wake John Bocco 'Adebayor' amepona majeraha yake na huenda akatumika kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Jumamosi ijayo jijini Mwanza.
Bocco hajaitumikia Simba tangu ligi ya msimu uliopita ilimalizike May 28 2018. Alikuwa kwenye kikosi cha Simba kilichokwenda nchini Uturuki kuweka kambi ya wiki mbili
Amekuwa akifanya mazoezi maalum ili kuweza kurejea kikosini mapema.
Bocco amerejea kikosi katika wakati muafaka ikiwa imesalia wiki moja tu kabla ya ligi kuu ya Tanzania Bara ianze.

ADVERTISE HERE