Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Sokoine utakaotumika kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa tisa dhidi ya Mbeya City kesho Junmapili.
Simba ilitua mkoani Mbeya jana ikitumia usafiri wa ndege.
Kuelekea mchezo huo kocha Mkuu wa Simba Joseph Omog amesema kikosi chake kiko kamili na tayari kuondoka na alama zote sita mkoani Mbeya.

Baada ya mchezo huo Simba itashuka tena dimbani Novemba 18 kuumana na Prisons.

ADVERTISE HERE