Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba tayari kiko mkoani Arusha kuweka kambi ya siku tatu kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa dimba la CCM Kirumba, Jumamosi ijayo, August 18.
Ikiwa mkoani Arusha Simba itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Arusha United keshokutwa Jumatano, August 15.
Mkuu wa Idara ya Habari ya klabu ya Simba Haji Manara amewaalika wakazi wa mkoa wa Arusha na maeneo ya jirani kujitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Sheikh AMri Abeid kuwashuhudia mabingwa wa nchi.

ADVERTISE HERE