Mchezo wa Simba dhidi ya Prisons wahamishiwa uwanja wa Uhuru

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Aug 2018
Mchezo wa Simba dhidi ya Prisons wahamishiwa uwanja wa Uhuru
Mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Simba dhidi ya Tanzania Prisons ambao awali ulipangwa kupigwa August 22 kwenye uwanja wa Taifa, sasa mchezo huo utapigwa uwanja wa Uhuru.

Bodi ya ligi kuu imefanya marekebisho madogo ya ratiba baada ya Serikali kuitaarifu TFF kuwa uwanja wa Taifa utakuwa na matumizi maalum kati ya August 22 na Septemba mosi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura, amesema wamelazimika kufanya marekebisho hayo kwendana na agizo hilo la Serikali.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
6h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
6h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
9h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’