Kiungo mahiri wa Simba Jonas Mkude amewashukuru mashabiki wa klabu hiyo kwa kumpigia kura zilizomuwezesha kuibuka mchezaji bora wa mashabiki msimu uliopita.
Juzi kwenye Tamasha la SIMBA DAY Mkude alitangazwa kuibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa msimu wa mashabiki baada ya kupigiwa kura kwa wingi.
Baadae alikabidhiwa tuzo yake kwenye hafla iliyofanyika hoteli ya Serena.
"Nawashukuru mashabiki wa Simba kw akunichagua kuwa mchezaji wao bora wa msimu uliopita," amesema Mkude

ADVERTISE HERE