Simba yatua Lindi, yajifua uwanja wa Majaliwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Aug 2018
Simba yatua Lindi, yajifua uwanja wa Majaliwa
Kikosi cha mabingwa wa Tanzania Bara, Simba kimewasili salama wilayani Ruangwa mkoa wa Lindi tayari kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo FC Jumamosi, August 11 2018.

Baada ya kuwasili, Simba ilifanya mazoezi kwenye uwanja wa Majaliwa, uwanja ambao mabingwa hao wa Tanzania Bara wamealikwa kwa ajili ya kuuzindua.

Uwanja huo wenye ubora wa hali ya juu ujenzi wake umefanikishwa kwa kiasi kikubwa na Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa ambaye ni Mbunge wa jimbo la Ruangwa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
13h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
14h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
17h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’