Nahodha wa kikosi cha Simba John Bocco bado hajapona majeraha na huenda akaendelea kuwa nje hadi mwisho wa mwezi huu.
Bocco hakucheza mchezo wa juzi dhidi ya Asante Kotoko siku ya SIMBA DAY, na baada ya mchezo huo kocha Patrick Aussems alisema mchezaji huyo bado ni majeruhi na atakosekana kwenye mchezo wa ufunguzi wa ligi dhidi ya Prisons August 22 pamoja na ule wa Ngao ya Jamii dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa mapema zaidi August 18.
Hata hivyo kukosekana kwa Bocco hakumuumizi kichwa kocha Aussems kwa kuwa Simba ina kikosi kipana

ADVERTISE HERE