Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) limelaani tukio la kupigwa kwa mwandishi wa habari za Michezo Sillas Mbise na maafisa wa jeshi la Polisi jana kwenye Tamasha la Simba lililofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
ADVERTISE HERE