Simba itumie wingi wa mashabiki wake kujinufaisha zaidi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Aug 2018
Simba itumie wingi wa mashabiki wake kujinufaisha zaidi
Idadi kubwa ya mashabiki waliojitokeza kushuhudia Tamasha la SIMBA uwanja wa Taifa jana imedhihirisha ukubwa wa klabu ya Simba.

Huu ni wakati sasa wa viongozi wa Simba pamoja na mwekezaji kuweka mipango kabambe ya kibiashara kuhakikisha klabu ya Simba inanufaika na uwingi wa mashabiki wake.

Uzinduzi wa gazeti la klabu ya Simba ni moja ya hatua muhimu sana za kibiashara zilizochukuliwa na uongozi na zitaisogeza timu karibu zaidi na mashabiki wake.

Lakini pia Simba iharakishe usambazwaji wa jezi mpya kila pembe ya Tanzania kuwapa mashabiki furaha yao huku klabu ikiongeza mapato yake.

Pia inafurahisha zaidi kuona Serikali ikiahidi kupambana na wale mafisadi wanaohujuma mapato ya vilabu kwa kutengeneza na kuuza bidhaa feki zenye nembo.

Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ambaye jana alimwakilisha Waziri Mkuu kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha hilo, alisema tayari msako umeanza wa kuwanasa wanaotengeneza jezi na bidhaa feki zenye nembo za vilabu vyote ikiwemo Simba.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’