Kambi Mwanza itainufaisha Simba - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Sep 2017
Kambi Mwanza itainufaisha Simba - Manara
Presha inazidi kupanda kuelekea mchezo wa Jumapili dhidi ya Stand United. Baada ya kucheza mchezo wa kirafiki Tabora, Simba imerejea jijini Mwanza kuweka kambi.

Mkuu wa Kitengo cha habari wa Simba, Haji Manara amesema kambi waliyoweka jijini Mwanza iko katika mpangilio mzuri na wanaamini itawawezesha kuibuka na ushindi dhidi ya Stand United.

"Baada ya mechi ya Tabora dhidi ya Milambo, tumerejea Mwanza kwa ajili ya kambi na kabla ya mechi tutaenda Shinyanga", amesema Manara

"Tumechagua Mwanza kwa kuwa tunaona ni sehemu ya kambi nzuri na itatusaidia kupata matokeo"

Simba imeshashuka dimbani mara nne, imeshinda michezo miwili pia kutoka sare michezo miwili.

Sio matokeo mazuri sana ukilinganisha na msimu uliopita ambapo kipindi kama hiki Simba ilikuwa imetoka sare mchezo mmoja pekee.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’