Uwanja wa Taifa umeanza kupendeza mapema tu ikiwa ni saa chache kabla ya mtanange wa kuhitimisha shamrashamra za wiki ya SIMBA iliyoanza Alhamisi iliyopita.
Idadi kubwa ya mashabiki wameendelea kuingia uwanjani, ambapo mpaka sasa tayari idadi kubwa ya mashabiki wako ndani.

Mashabiki wana shauku kubwa ya kukiona kikosi cha Simba kilichosukwa upya ambacho kinanolewa na Mbelgiji Patrick Aussems aliyechukua nafasi ya Pierre Lechantre.

ADVERTISE HERE