Wageni waalikwa wa Simba kwa ajili ya Tamasha la SIMBA DAY, Asante Kotoko tayari wamewasili nchini na jioni ya leo wamefanya mazoezi kwenye uwanja wa Taifa.
Asante Kotoko kutoka nchini Ghana itacheza na Simba kesho kwenye uwanja wa Taifa siku ya kilele cha wiki ya Simba, SIMBA DAY.


Asante Kotoko kutoka nchini Ghana itacheza na Simba kesho kwenye uwanja wa Taifa siku ya kilele cha wiki ya Simba, SIMBA DAY.


ADVERTISE HERE