Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Taifa tayari kwa mchezo dhidi ya Asante Kotoko hapo kesho.
Mapema leo Taasisi ya Mo Dewji wakiwa pamoja na wachezaji wa Simba walifika kituo cha kutunza watoto wenye ulemavu Kawe jijini Dar es salaam na kutoa misaada mbalimbali.
Kilele cha wiki ya Simba kitahitimishwa kesho kwenye uwanja wa Taifa ambapo shamrashamra zinatarajiwa kuanza mapema asubuhi.

ADVERTISE HERE