Asante Kotoko kutua Jumanne

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Aug 2018
Asante Kotoko kutua Jumanne
Klabu ya Asante Kotoko kutoka nchini Ghana inatarajiwa kuwasili kesho Jumanne tayari kwa mchezo dhidi ya Simba keshokutwa Jumatano, August 08 2018 siku ya Tamasha la SIMBA DAY.

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, Mkuu wa Idara ya Habari ya klabu ya Simba Haji Manara amesema timu hiyo itawasili kesho ambapo jioni itafanya mazoezi kwenye uwanja wa Taifa.

Asante Kotoko ni moja ya vilabu vikongwe kabisa barani Afrika ambavyo vina heshima ya kipekee.

Kwa sasa inashika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu ya Ghana inayoshirikisha timu 16.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’