Kikosi cha Simba kimewasili mkoani Mbeya kikitua uwanja wa ndege wa Songwe majira ya saa saba mchana.
Simba ikiwa na wachezaji wake wote isipokuwa Said Mohammed 'Nduda' na Shomari Kapombe, kimetua Mbeya tayari kwa michezo miwili ya ligi kuu ya Vodacom.
Mchezo wa kwanza utapigwa kwenye dimba la Sakoine keshokutwa Jumapili dhidi ya Mbeya City kisha kusubiri kwa wiki mbili kuivaa Prisons Novemba 18.

ADVERTISE HERE