Baada ya hapo jana, mashabiki na wanachama wa klabu ya Simba kushiriki zoezi la uchangiaji damu lililofanyika Karume, Iala Boma jijini Dar es salaam, baadhi ya viongozi waandamizi wa Simba wameshiriki zoezi hilo leo.
Kaimu Rais wa klabu ya Simba Salum Abddallah aliwaongoza baadhi ya viongozi na wanachama wa Simba kuhitimisha zoezi la kuchangia damu salama, ambapo alikamilisha zoezi hilo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Unit 248 za damu salama zimechangiwa.

ADVERTISE HERE