Jezi mpya za Simba kutambulishwa leo Serena Hotel

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Aug 2018
Jezi mpya za Simba kutambulishwa leo Serena Hotel
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Simba Haji Manara amewaalika waandishi wa Habari kwenye tukio la utambulisho wa jezi mpya za Simba msimu wa 2018/19.

Tukio hilo litafanyika mchana wa leo Jumatatu, Hotel ya Serena jijini Dar es salaam.

Keshokutwa ndio kilele cha siku ya SIMBA kila shabiki atakayefika uwanja wa Taifa ameaswa 'kutimba' na uzi huo mpya utakaotambulishwa leo.

Basi la Simba usipime

Ili kuhakikisha kila kitu kinakwenda sambamba na hadhi ya Simba, basi la klabu hiyo limebadilishwa muonekano na wadhamini wakuu, kampuni ya SportPesa.









ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’