Tarehe kama ya leo majembe muhimu ya Simba, nahodha John Bocco na kiungo Shiza Kichuya walizaliwa.
Wawili hao wamekuwa sehemu ya mafanikio ya kikosi cha Simba msimu uliopita. Tunayo furaha kuwatakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu ya kuzaliwa.

Happy BirthDay Bocco, Happy BirthDay Kichuya...

ADVERTISE HERE