Nahodha wa kikosi cha Simba John Bocco ameshindwa kuichezea timu hiyo katika michezo miwili ya kirafiki nchini Uturuki kutokana na kuwa majeruhi.
Benchi la ufundi la Simba linaloongozwa na Mbelgiji Patrick Aussems lilimpa program maalum ya mazoezi mshambuliaji huyo mkongwe ambaye aliibuka kuwa mchezaji bora wa VPL msimu uliopita.
Bocco anatarajiwa kuwa kamili mapema kabla ya msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom kuanza August 18 kwa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Mtibwa Sugar.
Simba inayorejea leo Tanzania, ikiwa Uturuki ilicheza dhidi ya Mouolodia FC ya Morocco na kutoka sare ya bao 1-1 kabla ya jana kucheza na Ksaifa ya Palestina na kushinda mabao 3-1

ADVERTISE HERE