Simba yaichapa F.C.E Ksaifa 3-1

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Aug 2018
Simba yaichapa F.C.E Ksaifa 3-1
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba walioweka kambi nchini Uturuki leo wamecheza mchezo wao wa mwisho wa kirafiki dhidi ya F.C.E Ksaifa.

Simba imeibuka na ushindi mnono wa mabao 3-1. Mabao ya Simba yamefungwa na Emanuel Okwi aliyefunga mawili huku moja likifungwa na Meddie Kagere.

Mchezo huo umehitimisha kambi ya Simba nchini Uturuki ikitarajiwa kuondoka nchini humo kesho Jumapili, August 05 kurejea Tanzania tayari kwa SIMBA DAY.

Kikosi cha Simba kilichoanza mchezo huo

1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Paschal Wawa
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. James Kotei
8. Clatous Chama
9. Adam Salamba
10. Emmanuel Okwi
11. Shiza Kichuya
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’