Wanachama Simba wafanya usafi standi ya mabasi Ubungo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Aug 2018
Wanachama Simba wafanya usafi standi ya mabasi Ubungo
Wakayi zikisalia siku nne kuelekea Tamasha la kila mwaka la Simba maarufu kama SIMBA DAY, wapenzi, wanachama na mashabiki wameendelea kufanya shughuli mbalimbali za kijamii.

Wiki ya Simba imezinduliwa rasmi juzi ambapo leo wanachama wa Simba Tawi la Ubungo Terminal jijini Dar es salaam wamefanya usafi Stand ya mabasi ya mikoani Ubungo.

Katika wiki hii ya Simba, WanaMsimbazi wanaendelea kufanya usafi maeneo mbalimbali, kutembelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu pia kujitolea kuchangia damu katika hospitali mbalimbali
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’