Mchezo wa Simba dhidi ya Wamorocco waahirishwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Aug 2018
Mchezo wa Simba dhidi ya Wamorocco waahirishwa
Leo mabingwa wa Tanzania Bara Simba ambao wako nchini Uturuki katika kambi ya kujiandaa na msimu mpya, walikuwa wacheze mchezo wa kirafiki dhidi ya mabingwa wenzao wa Morocco Ittihad Riadi de Tanger (IRT).

Hata hivyo mchezo huo umeahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha na sasa huenda ukapigwa kesho Jumamosi kama hali ya hewa itaruhusu.

Mechi ya kwanza ya mabingwa hao wa Tanzania katika kambi yao ya Uturuki walitoka sare ya kufungana bao 1-1 na MC Oujder ya Morocco pia juzi jioni.

Mchezo huo pia ulikatishwa na mvua katika dakika ya 65
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’