Uongozi wa Simba leo umeweka hadharani viingilio vya kuushuhudia mchezo dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana siku ya SIMBA DAY, Jumatano ijayo, AUgudt 08 2018..
Afisa Habari wa Simba Haji Manara amebainisha kuwa mchezo huo utapigwa kwenye uwanja wa Taifa ambapo kiingilio cha chini kabisa kitakuwa Tsh 5,000/- Mzunguuko.
VIP A ni Tsh 20,000/- wakati VIP B ni Tsh 15,000/-
Kabla ya mchezo huo kutakuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali na matukio mengine yatakayowekwa katika ratiba.

ADVERTISE HERE