Wakati zikiwa zimebaki siku tano tu kuelekea siku ya maalum ya mabingwa wa Tanzania Bara 'SIMBA DAY' maandalizi yamezidi kupamba moto.
Leo Afisa Habari wa Simba Haji Manara atazungumza na waandishi wa habari juu ya mikakati kueleke siku hiyo inayosubiriwa kwa hamu na wapenzi, wanachama na mashabiki wa klabu ya Simba.
Mkutano huo utafanyika katika Hotel ya Serena, jijini Dar es salaam.
Manara ataambatana na wasanii kadhaa ambao watatumbuiza SIMBA DAY, Jumatano ijayo katika uwanja wa Taifa.
Kikosi cha Simba bado kiko nchini Uturuki kikiendelea na maandalizi ambapo leo na kesho kitacheza michezo ya kirafiki kabla ya kurejea nchini keshokutwa.

ADVERTISE HERE