Beki wa Kimataifa wa Uganda, Juuko Murshid ataendelea kuichezea Simba baada ya kurejea nchini kufuatia mipango ya kujiunga na SuperSport United ya Afrika Kusini kukwama.
Juuko aliondoka nchini mapema mwezi uliopita kwenda kufanya majaribio katika klabu hiyo ya SuperSport.
Juuko ameungana na wachezaji wengine wawili wa Simba ambao hawajasafiri na timu kwenye kambi ya Uturuki.
Wengine ni beki Salim Mbonde ambaye ni majeruhi na kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima.

ADVERTISE HERE