Mshambuliaji tegemeo wa klabu ya Simba Emanuel Okwi jana alishindwa kumaliza mazoezi ya jioni baada ya kuumia wakati akifanya mazoezi ya viungo.
Daktari wa Simba alishauri mchezaji huyo apewe mapumziko ili kuweza kumsaidia kurudi kwenye hali yake.
Okwi ndiye kinara wa upachikaji mabao ligi kuu ya Vodacom akiwa na mabao nane.

ADVERTISE HERE