Simba kucheza na Asante Kotoko SIMBA DAY

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Aug 2018
Simba kucheza na Asante Kotoko SIMBA DAY
Uongozi wa Simba umebainisha kuwa timu mualikwa katika siku ya SIMBA DAY kuwa ni Asante Kotoko kutoka nchini Ghana na sio AFC Leopards kama ilivyotaarifiwa awali.

Simba leo imezindua rasmi wiki ya Simba ambayo itahitimishwa August 08, kwenye uwanja wa Taifa ambapo mchezo huo utapigwa.

Katika wiki hii ya Simba, wadau wa mabingwa hao wa Tanzania Bara watashiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii.

Mkuu wa Idara ya Habari ya Simba Haji Manara amesema uongozi wa klabu hiyo umeandaa mambo mazuri yatakayodhihirisha ukubwa wa 'Brand' ya Simba.

Kikosi cha Simba kitarejea rasmi Jumapili, August 05 kuelekea siku hiyo maalum ya klabu ya Simba.

Simba itatambulisha rasmi jezi zake kwa ajili ya msimu ujao siku hiyo ambayo wachezaji watarejea kutoka nchini Uturuki.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
15h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
19h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’