Uongozi Simba kuzungumza na Wanahabari leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Aug 2018
Uongozi Simba kuzungumza na Wanahabari leo
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mabingwa wa Tanzania Simba leo Jumatano Saa Sita kamili mchana tarehe Mosi August itazungumza na Waandishi wa habari za michezo kwenye Hoteli ya Serena ya hapa jijini Dar es salaam

Mkutano huo muhimu utafanyika ndani ya Ukumbi wa kivukoni four uliopo ndani ya Hoteli hiyo ya Nyota Tano

Pamoja na mambo mengine, Ajenda kuu ya Mkutano huo ni kuzungumzia maandalizi ya Simba Day itakayofanyika tarehe Nane mwezi ujao na Wiki ya Simba inayoanza kesho tarehe Mosi.

Katika kuwapa haki Wanasimba na Watanzania kwa ujumla, Stesheni kubwa nchini ya Televisheni Azam Tv kupitia channel yake ya Azam Sports two na page za mitandao ya kijamii za Simba na za mkuu wa habari wa Mabingwa hao,zitarusha live (mubashara) shughuli hiyo makhsuus.

Tunatarajia Wanahabari mtazingatia muda ili kuwezesha shughuli nyingine kuweza kuendelea.

IMETOLEWA NA
HAJI S MANARA
MKUU WA HABARI
SIMBA SC
SIMBA NGUVU MOJA
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’