Simba ilivyojifua Uturuki leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Jul 2018
Simba ilivyojifua Uturuki leo
Kikosi cha Simba leo kimeendelea na mazoezi katika jiji la Istanbul nchini Uturuki kujiandaa na msimu mpya wa ligi pamoja na michuano ya Kimataifa.

Maandalizi hayo pia ni kwa ajili ya siku maalumu ya SIMBA DAY itayofanyika jijini Dar es salaam August 08 2018 kwa Simba kuchuana na AFC Leopards ya Kenya.

Kocha Patrick Aussems ameendelea kukinoa kikosi chake akiwafua wachezaji tayari kutumia mfumo wake wa soka la kumiliki mpira.

Kesho Simba itacheza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki tangu ifike nchini humo wiki iliyopita kwa kuchuana na Moulodia Club of Oujda ya Morocco.









ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’