Jana Kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah 'Try Again' alisema uongozi wa timu hiyo utamuhoji kiungo Mnyarwanda Haruna Niyonzima ambaye ahajajiunga na kambi ya Simba nchini Uturuki.
Salim alisema Niyonzima alikuwa na ruhusa ambayo ilimalizika Julai 20 na alitakiwa kurejea jijini Dar es salaam tayari kwa safari ya Uturuki.
Hata hivyo mchezaji huyo mpasa sasa hajarejea nchini huku pia akiwa hajatoa taarifa yoyote kwa uongozi.
"Likizo ya Haruna Niyonzima ilimalizika tangu July 20, lakini mpaka sasa kama uongozi hatuelewi tatizo gani limemtokea mpaka kupeleka kuchelewa kuwasili nchini hadi leo.
"Tutampa nafasi ya kumsikiliza kwasababu hatuwezi kutoa hukumu kabla ya kujua tatizo lake ni lipi, na kuhusu kwenda Uturuki kwa sasa haitowezekana kwasababu tayari yupo nje ya muda" alisema.
Niyonzima hatasafiri kwenda Uturuki kutokana na muda wa kambi hiyo ya wiki mbili kuelekea ukingoni.

ADVERTISE HERE