Simba inajifua mara mbili kwa siku

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jul 2018
Simba inajifua mara mbili kwa siku
Licha ya changamoto ya hali ya hewa, kikosi cha Simba kimeendelea kujifua kikamilifu nchini Uturuki yakiwa ni maandalizi ya msimu mpya na michuano ya Kimataifa.

Kocha Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems tayari ameanza kufanikiwa kuingiza filosofia ya soka lake la kupendeza 'sexy football'.

Kocha huyo amekuwa akiwapa mazoezi wachezaji wake mara mbili kwa siku huku akigawa vikosi vyake kwa wengine kufanya mazoezi ya Gym na wengine wakisakata kabumbu.

Kesho Simba itacheza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Mouloudia ambayo pia iko nchini Morocco ikijiandaa na msimu mpya.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’