Mshambuliaji na nahodha wa Simba, John Bocco ' Adebayo' amepewa programu ya mazoezi ya peke yake ili kumweka fiti.
Bocco ambaye aliibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, amekuwa akifanya mazoezi ya kukimbia na kunyoosha misuli akitumia vifaa maalumu.
Program hiyo imeanza jana Ijumaa na itaendelea kwa siku mbili.
Daktari wa Simba, Yassin Gembe amesema, hiyo ni program maalumu kwa siku hizo na si majeruhi bali ana maumivu kidogo.
"Anafanya programu hiyo kwa ajili ya kumjenga lakini ifahamike kuwa si majeruhi ila ana maumivu kidogo,"amesema Gembe.
Mwanaspoti

ADVERTISE HERE