Maandalizi ya SIMBA DAY yapamba moto

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jul 2018
Maandalizi ya SIMBA DAY yapamba moto
Zimebaki siku 10 kabla ya ile siku maalum ya utambulisho wa kikosi cha Simba kwa ajili ya msimu wa 2018/19 August 08 2018.

Wakati huu mabingwa hao wa Tanzania Bara wako nchini Uturuki wakijifua kikamilifu kabla ya kurejea nchini August 05 kuelekea siku hiyo.

Hakuna shaka, msimu huu Simba itakuwa 'tamu' zaidi ya msimu uliopita kutokana na usajili makini uliofanyika.

Pia maandalizi ya kikosi ni ya daraja la juu kabisa.

Wakati wowote uongozi wa Simba utaweka hadharani timu alikwa itakayochuana na Simba August 08.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’