Simba kucheza mchezo kirafiki August 01

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Jul 2018
Simba kucheza mchezo kirafiki August 01
Kikosi cha Simba kinaendelea kujifua nchini Uturuki yakiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa VPL unaoanza August 22 pamoja na michuano ya Kimataifa.

Mkuu wa idara ya habari ya klabu ya Simba Haji Manara amesema siku ya Jumanne ijayo August 01 2018, mabingwa hao wa Tanzania Bara watacheza mchezo wao wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Mouloudia, timu kutoka nchini Morocco ambayo nayo iko Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.

Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Kartepe Green Park na unatarajiwa kuanza saa kumi kamili jioni kwa saa za Uturuki.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’