Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba leo kimeendelea kujifua nchini Uturiki yakiwa ni maandalizi ya msimu mpya.

Leo benchi la ufundi chini ya kocha Mkuu Patrick Aussems liliwagawa wachezaji makundi mawili moja liliendelea na mazoezi ya Gym na lingine lilifanya mazoezi ndani ya uwanja.

ADVERTISE HERE