Hiki hapa kikosi cha Simba 2018/19

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jul 2018
Hiki hapa kikosi cha Simba 2018/19
Dirisha la usajili limefungwa usiku wa kuamkia leo huku baadhi ya timu zikipambana kwenye dakika za majeruhi kukamilisha usajili, kwa upande wa Simba mambo yalishakamilishwa mapema tu.

Simba ilifunga usajili wake siku mbili kabla ya dirisha hilo kufungwa.

Hiki hapa kikosi cha Simba kwa msimu wa 2018/19.

MAKIPA
Aishi Manula
Deogratius Munishi β€˜Dida’
Ally Salim

MABEKI
Shomali Kapombe
Asante Kwasi
Mohammed Hussein
Nickolas Gyan
Paschal Wawa
Erasto Nyoni
James Kotei
Yusufu Mlipili
Paul Bukaba
Vicent Costa
Salim Mbonde.

VIUNGO
Jonas Mkude
Mzamiru Yassin
Shiza Kichuya
Cletus Chama
Haruna Niyonzima
Hassan Dilunga
Mohammed Ibrahim
Marcel Kaheza
Abdul Hamis
Rashid Juma
Said Ndemla

WASHAMBULIAJI
Emmanuel Okwi
John Bocco
Middie Kagere
Adam Salamba
Mohammed Rashid

BENCHI LA UFUNDI
Kocha Mkuu Patrick Aussems, Kocha Msaidizi Masoud Dhuma, Kocha wa Makipa, Mwalami Mohammed, Kocha wa Viungo Adel Zrane na Daktari wa timu Yassin Gembe
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’