Nyota wanne Simba wawasili Uturuki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jul 2018
Nyota wanne Simba wawasili Uturuki
Idadi ya wachezaji wa Simba walio kambini nchini Uturuki imezidi kuongezeka baada ya nyota wanne kujiunga na kambi hiyo.

Hassani Dilunga, kiungo mpya aliyesajiliwa na Simba akitokea Mtibwa Sugar ni miongoni mwa wachezaji waliotua Uturuki na kuanza mazoezi leo.

Wengine ni Erasto Nyoni, Meddie Kagere na Said Ndemla.

Kikosi cha Simba kimeendelea kujifua nchini humo ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya.







Simba itarejea nchini August 05, siku tatu kabla ya SIMBA DAY.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’