Kikosi cha Simba kinaendelea na mazoezi nchini Uturuki ikiwa ni maandalizi ya msimu ujao wa ligi kuu ya Vodacom, kombe la FA na michuano ya ligi ya mabingwa.
Baada ya vipindi vya mazoezi, kwa nyakati tofauti wachezaji wamekuwa wakipewa semina ili waweze kujengeka kisaikolojia na kutambua wajibu wao kama wachezaji wa Simba.

Pia semina hizo ambazo zinatolewa na benchi la ufundi zinalenga kuwaelimisha wachezaji juu ya masuala mbalimbali ya kiufundi.

ADVERTISE HERE