Nduda kutolewa kwa mkopo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jul 2018
Nduda kutolewa kwa mkopo
Kuelekea msimu ujao wa mashindano klabu ya Simba imepanga kuwatoa kwa mkopo baadhi ya wachezaji huku ikitarajiwa kuwatema wengine.

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amethibitisha golikipa Said Mohammed aametolewa kwa mkopo japo hakutaja klabu anayokwenda.

"Nduda na baadhi ya wachezaji wengine wamepelekwa kwa mkopo kwenye timu tofauti-tofauti," amesema Manara.

"Wapo tutakaowatoa kwa mkopo na ambao tutaachana nao, lakini nadhani siku mbili hizi tutawataja wachezaji walioachwa na maandalizi yote kuelekea msimu ujao"

Baadhi ya wachezaji ambao tayari wameondoka Simba ni Jamal Mwambeleko aliyetimkia Singida United na Mwinyi Kazimoto aliyetimkia JKT Tanzania.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’