Uongozi wa Simba umethibitisha kuwa wachezaji wengine wanne wataungana na timu hiyo nchini Uturuki kwenye kambi ya kujiandaa na msimu mpya wa VPL na michuano ya Kimataifa.
Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema tayari VISA za wachezaji hao ziko tayari na kesho watasafiri kujiunga na wenzao.
Wachezaji hao ni Meddie Kagere, Said Ndemla, Erasto Nyoni na kiungo mpya aliyesajiliwa kutoka Mtibwa Sugar, Hassani Dilunga.

ADVERTISE HERE