Samatta kuwania tuzo ya mwanasoka bora Afrika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Nov 2017
Samatta kuwania tuzo ya mwanasoka bora Afrika
Mtanzania, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa STars' Mbwana Samatta ni miongoni mwa majina 30 yaliyotajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika kwa mwaka 2017.

Samatta anatarajiwa kuchuana na wakali wengine kama mshambuliaji wa Gabon na Borussia Dortmund Pierre Erick Aubameyang aliyeshinda mwaka 2015.

Pia mshambuliaji wa Senegal na Liverpool Sadio Mane ambaye alikuwa katika nafasi ya tatu 2016.

Mshindi wa mwaka 2016 Riyad Mahrez wa Algeria hayumo katika orodha hiyo.

Kati ya wachezaji 30 waliorodheshwa ni saba pekee ambao hawachezi soka yao barani Ulaya, huku kipa wa Misri aliye na umri wa miaka 44 pia akiorodheshwa.

Kipa huyo wa miaka mingi anacheza soka yake katika klabu ya Al-Taawoun nchini Saudi Arabia.

Samatta anayechezea KRC Genk ya Ubelgiji aliwahi kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza ndani miaka miwili iliyopita.

Orodha kamili
Vincent Aboubakar (Cameroon & Porto), Karim El Ahmadi (Morocco na Feyenoord), Christian Atsu (Ghana & Newcastle), Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon na Borussia Dortmund), Eric Bailly (Cote d'Ivoire na Manchester United), Cedric Bakambu (DR Congo na Villareal), Keita Balde (Senegal & Monaco), Christian Bassogog (Cameroon na Henan Jianye), Yves Bissouma (Mali na Lille), Khalid Boutaib (Morocco na Yeni Malatyaspor), Yacine Brahimi (Algeria na Porto), Essam El Hadary (Egypt na Al Taawoun), Junior Kabananga (DR Congo na Astana), Fackson Kapumbu (Zambia na Zesco), Naby Keita (Guinea na RB Leipzig), Ali Maaloul (Tunisia na Al Ahly), Sadio Mane (Senegal na Liverpool), Moussa Marega (Mali na Porto), Victor Moses (Nigeria na Chelsea), Youssef Msakni (Tunisia na Al Duhail), Michael Olunga (Kenya na Girona), Fabrice Ondoa (Cameroon na Sevilla), Denis Onyango (Uganda na Mamelodi Sundowns), Thomas Partey (Ghana na Atletico Madrid), Mohamed Salah (Egypt na Liverpool), Mbwana Samata (Tanzania na Genk), Jean Michel Seri (Cote d'Ivoire na Nice), Percy Tau (South Africa na Mamelodi Sundowns), Bertrand Traore (Burkina Faso na Lyon), William Troost-Ekong (Nigeria na Bursaspor)
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’