Kiungo Elia Nyondo amepandishwa kutoka kikosi cha pili cha Simba ambapo leo amesaini mkataba wa kuwatumimikia mabingwa hao wa Tanzania Bara.
Nyondo anaunga na Rashid Juma na mlinda lango Ally Salim ambao nao wamepandishwa kutoka Simba B.
Simba imekuwa na utamaduni wa kukuza vipaji.
Said Ndemla, Jonas Mkude, Ibrahim Ajib (sasa yuko Yanga) na Ramadhani Singano (yuko Azam FC) ni miongoni mwa wachezaji waliopita Simba B

ADVERTISE HERE