Kikosi cha Simba kinaendelea kujifua nchini Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.
Jana Kocha Mpya wa Viungo Adel Zrane alianza kazi nchini humo akiungana na Kocha Mkuu Patrick Aussems na Kocha Msaidizi Masudi Djuma.
Simba imempa Zrane kandarasi ya mwaka mmoja baada ya kupendekezwa na Kocha Mkuu wa klabu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems.

ADVERTISE HERE