Nahitaji kuisaidia timu zaidi - Okwi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Nov 2017
Nahitaji kuisaidia timu zaidi - Okwi
Mshambuliaji kinara wa mabao ligi kuu ya Vodacom, Emanuel Okwi amewajibu wale wanaombeza kuwa anapocheza nje ya jiji la Dar es salaam hana makali.

Okwi anayeongoza orodha ya uoachikaji mabao ligi kuu ya Vodacom akiwa na mabao nane, amesema yeye hajali mabao yake anayafungia wapi kwani muhimu ni kuisaidia timu.

"Ni kweli sijafunga katika kiwanja kingine tofauti na hapa Uhuru na kama nitafunga katika viwanja vya mikoani nitajisikia furaha, lakini lengo kubwa si mimi kufunga bali kuisaidia timu kufanya vizuri kwani, hiyo ndio kiu yetu kubwa."

Aidha Okwi ameahidi kuwa watahakikisha wanapambana mkoani Mbeya kutoka alama zote sita dhidi ya Mbeya City na Prisons.

Simba itashuka dimba la Sokoine Jumapili, Novemba 05 kuchuana na Mbeya City na mchezo dhidi ya Prisons ukitarajiwa kupigwa katika dimba hilohilo Novemba 18
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’