Mo awaonea huruma Yanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Jul 2018
Mo awaonea huruma Yanga
Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji 'MO' amewashauri wadau wa klabu ya Yanga kuungana ili waweze kuivusha timu yao katika kipindi kigumu.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter, Mo amesema Simba inahitaji changamoto ya Yanga imara ili iweze kufanikiwa zaidi.

Amewatakia kheri wadau wa Yanga katika jitihada zao za kujinasua katika changamoto inayowakabili.

Yanga imekumbwa na changamoto ya kiuchumi tangu kujizulu kwa aliyekuwa Mwenyekiti wake Yusuph Manji.

Timu hiyo imeshindwa kufanya usajili wa maana kutokana na ukata achilia mbali kushindwa kulipa mishahara ya wachezaji.

Tangu iliporejea kutoka Kenya ambako ilifungwa mabao 4-0 na Gor Mahia, wachezaji wa Yanga waligoma kufanya mazoezi wakishinikiza walipwe mishahara kwanza.

Viongozi wake wanajiuzulu mmoja mmoja ambapo mpaka sasa viongozi waliojiondoa Yanga wamefika saba.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’