Kikosi cha mabingwa wa Tanzania Bara, Simba kilitua salama nchini Uturuki jana na kufanya mazoezi mepesi jioni.
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems alipata nafasi ya kuongoza vijana wake katika mazoezi kwa mara ya kwanza tangu ajiunge na mabingwa hao wiki iliyopita.

Simba itakuwa Uturiki kwa takribani wiki mbili ambapo ikiwa nchini humo inatarajiwa kucheza michezo mitatu ya kirafiki.

ADVERTISE HERE