Mchezaji kiraka wa Simba Erasto Nyoni ameshinda tuzo ya kuwa mchezaji bora wa klabu hiyo kwa mwezi wa 10 baada ya kupigiwa kura na mshabiki.
Nyoni amekuwa nguzo muhimu ya kikosi cha Simba akiwa tayari ametengeneza mabao sita.
Alionyesha kiwango cha juu katika michezo dhidi ya Njombe Mji, Mtibwa Sugar na Yanga.

ADVERTISE HERE