Update App yako kwenda toleo namba 1.1.4

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Jul 2018
Update App yako kwenda toleo namba 1.1.4
Kuna maboresho yamefanyika kwa App yetu ya Mwana Msimbazi ambapo hivi karibuni toleo namba 1.1.4 limewekwa Play Store na maboresho zaidi kuongezewa leo.

Ili kuendelea kupata taarifa bila matatizo ni muhimu ku Update kwenda toleo jipya.

Baada ya maboresho, baadhi ya matoleo ya zamani yataathiriwa na kushindwa kufanya kazi.

Kama unaona App yako haifunguki kwa urahisi au kurasa nyingine hazifunguki kabisa, basi taarifa hii inakuhusu, Update App yako kwenda toleo jipya.

Ku Update ni rahisi, fungua ukurasa wa pembeni wa App yako (SIDEBAR MENU) halafu bonyeza Update. Kisha utapelekwa moja kwa moja kwenye ukurasa wa Mwana Msimbazi App, Google Play Store. Utabonyeza tena Update.

Kama hutaona kitufe cha Ku Update Play Store, usiwe na wasiwasi jaribu tena baadae kwani toleo hilo linasambazwa kwa awamu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’