TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Klabu ya Simba leo tarehe 19/7/2018 siku ya Alhamis itafanya Mkutano na Waandishi wa habari za michezo kwenye Hoteli ya Serena hapa jijini.
Mkutano huo utaanza saa nane kamili mchana na utafanyikia ndani ya ukumbi wa Kivukoni One uliopo ndani ya Hoteli hiyo
Tunaamini Wanahabari mtazingatia muda ili kuwezesha shughuli nyingine kuweza kuendelea
IMETOLEWA NA
HAJI S MANARA
MKUU WA HABARI, SIMBA SC
SIMBA NGUVU MOJA

ADVERTISE HERE