Upo uwezekano mkubwa wa beki wa Yanga Kelvin Yondani kusajiliwa na mabingwa wa Tanzania Bara Simba leo imefahamika.
Jana mabosi wa Kamati ya usajili ya Simba walifanikiwa kufanya mazungumzo na beki huyo aliyesajiliwa na Yanga akitokea Simba misimu mitano iliyopita.
Leo Yondani atakutana na bilionea wa Simba Mohammed Dewji kabla ya hatua inayofuata.
Beki huyo ametaka apewe fedha za usajili Mil 80 ili aweze kumwaga wino Msimbazi.

ADVERTISE HERE